Posts

Showing posts from February, 2018

naku elimisha hivi leo,

kuna swari nimeishi kutafuta sana nipate kujua kuhusu kwa neno la kiswahili ni nini? chears kwa kiswahili ya itwa aje? jina  la chears! lina itwa ( maisha malefu ) unakubaliana na mimi? kama haukujua nisha kufahamisha.

msemo wa siku

bila kula hakuna kulala. na bila hatua hakuna kutua, na bila hekima  inamanisha haukusoma,