Posts

Showing posts from 2017

asante sana Mungu wangu.

Image

heri muoga anaokoa maisha yake. lakini asiogope maisha yake.

Image
huu msemo ni wa muhimu sana kwa mwana damu, wakati ashakua amekoma amekua mtu wakujitafutia, maana hata kuku huwaanza kujimba chini akikiwa na uhakika atapata chakula, tusiwe watu wakuongopa  maisha wacha maisha pia yakuheshimu na yatakupeleka vyema sheshee man ni sema, hakuna mwana damu atakosa akitafuta, cha muhimu tu ni bidii na kukosa kukata tamaa..  

lazima uli danganywa ama ulindanganyana.

ni fuatilie mengi ntakueleza uya fahamu mengi hauya jui. toka kwangu mimi sheshee man.
Image

my new song now is out my fans my friends Download it here.. THANKS. By Sheshee Man

Image
wimbo huu nime washukuru sana wengi walio niingiza kwa hii game ya mziki, na washukuru sa na Mungu awabariki wote. kanda king kanisa na fr, marko fr, simion. na acbishop makarious pia zijamsahao mwalimu churchill Mungu awabariki na awazidishie baraka...download hapa upate kuskia shukrani kwao na kwa Mungu pia.  http://www.jango.com/stations/394348965/tunein

LEO NI JAMHURI YANI NI SIKUU KUSHEREKIA UHURU WETU SISI WAKENYA.

Image
AMA KWERI NCHI YETU YA KENYA NI NCHI NZURI NA INAMAENDELEO MENGI ZAIDI, KAMA VILE HALI NZURI YA ANGA NA KADHARIKA, BAHARI UPEPO MZURI. NA PIA KUA NA WATU WAKARIMU ZAIDI NA JIVUNIA KUA MKENYA KILA MWAKA TUNA SHEREKIA HII SIKU KWA KUKUA TULIPA UHURU WETU HII SIKU, LAKINI TU ZIDI KUPENDANA KUA KITU KIMOJA TUSIWE NA UKABILA MAANA NCHI YETU SIO YA KABILA MOJA, AMA DINI MOJA, MBALI NI YETU SISI TULIE ZALIA HAPA NA KUKULIA HAPA NA JIVUNIA KUA MKENYA DAIMA. KUSEMA ULE UKWERI KENYA SISI NDO TUTAIPELEKA MBELE NA NI SISI TUNA WEZA INGUSHA BILA KUA NA UPENDO KAMA VILE WIMBO WETU WA TAIFA UNAVYO SEMA, TU USIKIZENI KWA UMAKINI NA TUUTII ZAIDI, ILI KENYA IWE NA BARAKA ZAIDI.   

habari ya leo na tumaini mko salama, leo tutazungumzia maisha ya mwanadamu yale hupitia. na nilazima ayapitie.

Jambo nalo zungumzia ni kuhusu kudanganya kwa mwanadamu, bila uogo kwengine hauwezi faulu mpaka undanganye. hivi ni nani mkweri duniani, bila shaka hamna, baba atandanganya mama.. nae mama atadanganya mtoto nae mtoto sijui atadanganya nani?  hivi ukifikiria anastahiri adanganye nani? mimi naona atadanganya mwalimu nae mwalimu atampa mafunzo na uongo kidogo kama vile hadithi za kale.. kuelimika lazima udanganywe kufaulu lazima udanganye uongo pia ni ujanja mwengine mzuri na mbaya, ila akili ndio itakuasaidia kuweza kufaidika kwako maishani.. Je? nikisema hivi na kosea? kudanganya sio vyema lakini pia kwa saidia. mimi sidandanyi pia nikisema wakati ulikua unasoma huu ujumbe wangu, umefunga macho mara 26. pili hauwezi ishi mchana mzima bila kujikuna mwili wako kwa siku. lazma utajikuna. kama nimekudanganya anza uchunguzi uone! Asante ni mimi wako sheshee man.   

download my music here, and God bless you.

Image
https://soundcloud.com/stream hot music listing..

niko na mambo mengi mazuri ningependa. kugawa na wewe..

Image
hivi una jua unaweza kutoka macho iwapo utachemua kama umefungua macho. pili hauwezi tembea kwa kasi kama umetuliza mikono yako. hawezi sikia  mbali zaidi ya wakati umefunga macho. pata haya na mengi kupitia kwa sheshee man...

maisha yana isha kama tu vile maji mwilini mwako. cha muhimu ni kuomba Mungu.

Image

kila msemo una maana yake. na kila kitu kina sababu yake. je? lipi lisilo na mwisho. au lipi lisilo beta.

Image
Image

hapa sawa kuelimika na kujua mengi yale haungepata kujua. na sheshee man.

Image

Hot song on this Radio. listining to enjoy.

https://www.jango.com/music/Sheshee+man
Image
Image

UKIMIA WA PAKA NI WAKATI YU WANYWA MAZIWA.

PAKA AKIWA YUWANYWA MAZIWA  HUWA YUPO KIMIA.  HANA KABISA UGOMVI NA KITU CHOCHOTE.

KIJANA WA PWANI

KIJANA MOJA WA PWANI, ALIKUA NA MZEE KOBERAFIKI WAKE SANA,ILIFIKA WAKATI WAKO SAFARINI, MZEE KOBE MAANA YEYE ALIKUA AMEBEBA GAMBA LA  MGONGO WAKE,IKABIDII AMWAMBIE YULE KIJANA, TAFADHALI UNIBEBE NTAKURIPA. HADI UNIFIKISHE MJINIMWANGU, YULE KIJANA AKMBEBA MZEE KOBE,WAKIWA NJIANI YULE MZEE KOBE KUTIZAMA MWENDO WA KIJANA NI UPI? YEYE  MZEE KOBE AKASEMA HEBU NI SHUKISHE MAANA HUO MWENDO NA WEZA KUTEMBEA  ZAIDI YAKO, JE? NINI MAANA YAKE YA HII HADITHI.. INA MAANISHA SISI VIJANA WA PWANI TUMEKUA NA UVIVU MWINGI SANA SIKU HIZI HATUFANYI KAZI.SHESHEE..

watch out Rafiki Video

Image
https://www.youtube.com/watch?v=GSfMTwOKFMg
Image
Image
natumae mko wazima mi pia niko salama na shukuru, sasa wakati mwingi sisi binadamu,tuna faa katika kila jambo tunalo lifanya, tuwe umakini maana mwaribifu yupo, na siule unae mfahamu kama kunguru, mbali shetani yuko macho na kwako, la msingi nikumuomba Mungu,akulinde kwa kila jambo unalo lifanya maishani mwako, ni ushauri wangu sheshee man.
Image
Image