habari ya leo na tumaini mko salama, leo tutazungumzia maisha ya mwanadamu yale hupitia. na nilazima ayapitie.

Jambo nalo zungumzia ni kuhusu kudanganya kwa mwanadamu, bila uogo kwengine hauwezi faulu mpaka undanganye. hivi ni nani mkweri duniani, bila shaka hamna, baba atandanganya mama.. nae mama atadanganya mtoto nae mtoto sijui atadanganya nani?  hivi ukifikiria anastahiri adanganye nani? mimi naona atadanganya mwalimu nae mwalimu atampa mafunzo na uongo kidogo kama vile hadithi za kale.. kuelimika lazima udanganywe kufaulu lazima udanganye uongo pia ni ujanja mwengine mzuri na mbaya, ila akili ndio itakuasaidia kuweza kufaidika kwako maishani.. Je? nikisema hivi na kosea? kudanganya sio vyema lakini pia kwa saidia. mimi sidandanyi pia nikisema wakati ulikua unasoma huu ujumbe wangu, umefunga macho mara 26. pili hauwezi ishi mchana mzima bila kujikuna mwili wako kwa siku. lazma utajikuna. kama nimekudanganya anza uchunguzi uone! Asante ni mimi wako sheshee man.   

Comments

Popular posts from this blog