- Get link
- Other Apps
Posts
skiza toka kwangu nikupe makubwa.
- Get link
- Other Apps
sheshee man na penda sana kuelimisha jamii mimi kama msanii kio cha jamii niko pekee yangu mwenye talent hii kwa familia yangu,wengi maana sikutaka kufungia, mbali niki angalia mamangu ni msanii, uncle yangu alie anga dunia pia alikua msanii. Mungu ailaze mahali pema peponi Roho yake, kama ndio inanipa moto huu wakuandika na kuwafunza wengi wacha basi spirit yake iwe nami kokote na zaidi pale pana mafanikio Amen!
kuna kile kina sumbua kenya saa hii kweri? ni njaanuary pekee.
- Get link
- Other Apps
kuna wengine wanasema afadhali hii mwenzi wa january, iwe na week mbili pekee kwakua watu huumia sana ikifikia huu mwenzi, basi pia naona vitu vyakutumiwa na wanadamu vyoote vipunguzwe bei, itakua poa kenya hatutaona kama ni january, maana imekua excuse ya wakenya kila mara ukimuuliza akusaidie anakuambia kwani hauoni hii ni january,, kama mna jua maana ya jina january meaning yake, hamwezi sema ni kugumu hata kidogo ni maana ni jina lamuhimu sana, kwa mwanadamu, ndo maana unaona hatuko sawa, ikifika january ni wengi sana hujinyima sana ama kunyimana, ambapo mwenzi huu ni mwezi umepewa hilo jina, nikifanya uchunguzi ntakuapa jibu na maana ya jina January.. asante sana by sheshee man.
kuhusu mwaka mpya
- Get link
- Other Apps
habari ya leo twazungumzia mwaka mpya je? kuna yule anae jua utakua aje? ama kuna wale waliokua washapanga ukifika tu, kuna na hivi na hivi natafanya, yote huwa tuna faa kumuachia Mungu ndie anae panga na anapangua, na shukuru sana kwa Mungu ni fikisha mwaka huu na amani, na mafanikio zaidi na shukuru sana, kwake. kwa hiyo mwanadamu anapanga Mungu anatimiza ndo lilikua jibu langu la leo. Shukran....