kati ya mistari ya ngoma ya shukran.

natoka mafichoni huku nikwa mbioni, huku nikisonga mbele kwa giza mimi sion, hivi nitaskikika mpaka pale Radioni. lakini isiwe nisiku zile zausoni, ntafanya bidii nionekane pia kioni kama vile dadangu nyota ndogo wa pwani, nikifanya kibaya plz.. nipe tu maoni, bila ya wewe God siwezi ishi duniani,

Comments

Popular posts from this blog