skiza toka kwangu nikupe makubwa.

sheshee man na penda sana kuelimisha jamii mimi kama msanii kio cha jamii niko pekee yangu mwenye talent hii kwa familia yangu,wengi  maana sikutaka kufungia, mbali niki angalia mamangu ni msanii, uncle yangu alie anga dunia pia alikua msanii. Mungu ailaze mahali pema peponi Roho yake, kama ndio inanipa moto huu wakuandika na kuwafunza wengi wacha basi spirit yake iwe nami kokote na zaidi pale pana mafanikio Amen!

Comments

Popular posts from this blog